KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA KISIJU | Tarimo Blog

 
Wavuvi wakiondoka kwenda kuvua mapema leo katika mnada wa kuuzia Samaki wa kata ya Kisiju wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Kazi ya kutoa samahani kwenye chombo cha Uvuvi Uvuvi ukiendelea.
Wavuvi wakiondoka kwenda kuvua katika mnada wa kuuzia Samaki kata ya Kisiju wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2