HADITHI



MWANAFUNZI
    Na Alfred Gasto Tarimo
        +255 757 244 329 au + 255 718 412 802
Alikuwa na malengo makubwa sana katika maisha yake, aliamini kumaliza chuo kikuu ndio mlango wa mafanikio yake. Alikuwa na haki kuamini hivyo kwani kijijini kwao wengi waliomaliza chuo kikuu mara wapatapo ajira basi muda mfupi sana maisha yao hubadilika na kuwa bora zaidi, Jeffson hakutaka kuwaza kwamba hao ambao maisha yao hubadilika kwa haraka hivyo wamesoma kozi gani, alichoamini ni kwamba shahada yoyote lazima ikufanye ufanikiwe mapema.


“Hao wanawake wazuri wote nikipata pesa watanijua mimi ni nani, nitabadili kama nguo” Hayo yalikuwa mawazo ya Jeff kila alipokuwa akiwaona vijana wenzake wakiwa na wasichana warembo, wasichana ambao aliamini hao jamaa wanawamilika kutokana na pesa nyingi walizonazo.

****
Jeffson alipomaliza shahada yake ya kwanza ya ualimu alipangwa kufanya kazi wilayani nzega na kwa bahati nzuri alipangwa kufundisha Nzega shule ya sekondari, shule kongwe ya wilaya lakini pia ilikuwa mjini kabisa.
Alipofika alifanya kazi kwa bidii akiamini muda mfupi ujao basi na yeye mambo yake yatakuwa safi lakini tofauti na alivyotegemea kila mwezi alijioni hana mabadiliko makubwa, akaanza kujiuliza kwanini? Je lengo lake la kuwa na wasichana warembo litatimia kweli? Haukupita muda mrefu kugundua kwamba kozi aliyosoma haina malupulupu kama kzo walizoma rafiki zake, yeye alikuwa wa chaki tu, chaki itakutoa lini, kasha moja la chaki shiingi elfu moja, utauza makasha mangapi mpaka upate milioni moja? kwenye kuuza yote hayo ofisi haitagundua kwamba kuna upotevu wa rejareja wa makasha ya chaki? Vipi wakigundua na kuanza kufuatilia na kugundua kama yeye ndiye yuko nyuma ya upotevu huo.

“Ualimu kutoka sio leo” Jeff alikata shauri.
Kukata shauri kukamfanya agekie upande wa wanafunzi wa kike, ugumu wote aliokuwa nao wakati anaanza kazi aliuweka kando.
“Wa bei mbaya siwawezi, hawa sasa ndio saizi yangu”

Jeffson alianza na Milka, alitupa ndoana na kuona mtoto kaingia kwenye kumi na nane zake, kwa kweli hakumkawiza, alimpa haki yake, lakini kwa bahati mbaya Milka hakuwa na lolote, bado alikuwa mtoto kwenye mapenzi, Jeff hakufurahia lile tendo zaidi ya kuuchosha mwili wake, penzi lao halikudumu!
Kutodumu kwa penzi hilo kukamfanya Jeff ahamishe macho kwa Jesca, huyo kidogo alikuwa mjanja mjanja, alifundwa mara tu baada ya kufunja ungo, Jesca alishapita na wavulana tofauti tofauti na alipofika kwa mwalimu Jeff akaamua kutulizana, penzi hilo liliishi miezi miwili na kuanza kupungua makali, jicho la Jeff liliona kifaa kingine, alimuona Maria, Maria alikuwa mzuri haswa, umbo lake lilikuwa tofauti na umri wake.
Maria alikuwa na miaka kumi na sita lakini umbo lake lilikuwa la msichana wa miaka kama ishirini au ishirini na tano, mwili wake ulifinyangwa na kukubali kufinyangika, Maria hakuwa mfupi wala mrefu, alikuwa na kifua kidogo kilichobeba vifuu viwili vya nazi change, tumbo dogo liliunganika na kiuno chembamba, kazi ilikuwa baada ya kiuno, alikuwa na mzigo wa haja, mzigo ambao kama huna utaalam huwezi kujua kama anao kutokana na sketi alizokuwa anavaa akija darasani.
Mwalimu Jeff aliuona mzigo huo siku moja alipotoa adhabu, kila mwanafunzi alistahili fimbo tisa fimbo ambazo wavulana haikuwa shida sana kuzimudu lakini wasichana wengi walishindwa kuhimili na hapo ndipo umbo la maria lilipodhihirika machoni pa Jeffson.
”Mwalimu nichape miguu”
“Kwanini?”
“Nitashindwa kuandika, angalia mikono yangu” Maria alinyoosha mikono yake ambayo tayari fimbo nne zilishatua na kubadili rangi ya mikono yake na kuifanya myekundu kabisa.
“Ingiza sketi yako katikati ya miguu yako”
“Haya mwalimu”
Baada ya kuingiza sketi yake fimbo ya kwanza ilitua kwenye miguu yake na kumfanya apige kelele, kelele zilizoamsha hisia za mapenzi kwa mwalimu Jeff, kelele hizo alizisikia miaka miwili iliyopita akiwa na mpenzi wake wa chuo,mpenzi wake ambae alimkatili baada ya kujua kwamba Jeff anasomea ualimu.
“Kumbe unasoma BAE” (BAE- shahada ya ualimu)
“Ndio, kwani kuna ubaya?”
“Siwezi, wewe mwalimu na mimi wapi na wapi, siwezi mimi”
Jeff alijua utani lakini ndio ulikuwa mwisho wa mahusiano yao yaliyodumu kwa miaka kama miwili hivi kwani walianza wakiwa mwaka wa pili.
Huyo hakuwa mwingine, Lucy hakujua ni kwa namna gani aliuumiza moyo wa Jeff kwani mbali na kuwa anampa penzi moto moto lakini pia urembo alijaaliwa.
“Kanisubiri ofisini, sitaki utani hata kidogo”
“Mwalimu nichape tu”
“Nenda ofusini”
“Mwalimu basi malizia tu mikononi”
“Sitaki, utaendelea kunisumbua”
“Nitatega vizuri mwalimu”
“Hahahahahahahhahaha”
Wanafunzi walikuwa pale wakisubiri kuchapwa waliangua kicheko baada ya kusikia neno “nitatega “
Hakubadili maamuzi zaidi ya kumtaka Maria akasubiri ofisini ambako dakika tano badae walikuwa wote ofisini.
“Kwanini msumbufu?’
“Fimbo zinauma sana mwalimu”
“Na kwanini unamaneno makali vile”
“Yapi mwalimu?”
“Utatega vizuri, unadhani kwanini wenzako wamecheka?”
“Sasa si umesema hutaki usumbufu?”
“Sikiliza sitaki utani, leo nakuacha siku nyingine utanitambua”
Huo ulikuwa mwanzo wa Maria kuwa karibu na mwalimu Jeff,Maria hakujua lengo la mwalimu Jeff, Jeff akawa anampa pesa za kutumia kila akimuona muda wa mampumziko, Jeff alikuwa anafanya uwekezaji.
Ukaribu huo ukamfanya Maria kuomba pesa kila alipokuwa anahitaji, hazikuwa nyingi kwani mia tano au elfu moja ilikuwa tosha sana.
Ukaribu huo ukamfanya Maria ajikute anamtembelea mwalimu Jeff nyumbani kwake, alifika saa kumi jioni Maria alikuwa nyumbani kwa Jeff.
“Utakunywa nini?”
“Pepsi”
“Karibu” Jeff alifungua friji na kutoa hiyo soda na baada ya kuifungua akamkaribisha mgeni mwanafunzi, wakati huo Jeff alishakunywa maji kama lita mbili na soda moja kitu kilichomfanya awe anainuka kila wakati kupunguza maji.
“Mwalimu umepata nyumba nzuri sana” Maria alitoa pongezi
“Kwanini?”
“Sebule kubwa, hakuna uswahili na kizuri zaidi una choo cha ndani, una-enjoy sana”
“Kawaida tu, dakika tano badae soda ilikuwa imekata”
“Ngoja nikuongeze nyingine”
Soda iliwekwa mezani na kunyweka, hapo kibofu cha mkojo kilishindwa kuhimili na aliomba kwenda msalani ili akapunguze maji.
Ilipofika saa kumi na moja jioni, Maria alijikuta akisinzia, Jeff wala hakutaka kujihangaisha nae mpaka aliposema mwenyewe kwamba anajisikia kulala.
“Tumia dakika thelathini, kalale chumbani kwangu’
“Naogopa”
“Basi acha”
“Mbona mkali mwalimu, haya naenda” Maria aliinuka na kuingia chumbani, dakika tatu badae mwalimu Jeff aliingia mpaka maliwatoni, akafanya kilichompeleka na alipotoka alishangaa kumuona Maria yuko macho.
“Vipi?”
“Nashangaa usingizi umekata mara ulipogonganisha ndoo”
“Pole sana”
“Lala basi”
“Sijui”
“Au nikubembeleze?”
“Kwani mimi mtoto”
“Basi lala”
“Mwalimu wewe” Hapo Jeff hakulaza damu, alijivuta haraka mpaka kitandani na kuanza kumpigapiga mgongoni Maria aliyekuwa amelala kifudifudi.
Huo ukawa mwanza wa wawili hao kuingia kwenye mapenzi, tofauti na alivyotegenea Jeff kwamba Maria atakuwa hajui lolote kutokana na ulaini laini aliokuwa nao kumbe alikuwa moto wa kuotea mbali, alijua kuutumia mwili wake vizuri.
Dakika arobaini na tano badae Jeff alikuwa hoi, Maria bado alikuwa anahitaji huduma, Jeff hakutaka dharau, akapanda tena na kuonesha ufundi lakini kila alikokuwa anaegemea akiamini hapo atamshinda Maria alishangaa kuona wako pamoja.
“Maria”
“Abee”
“Asante”
“Ya nini mwalimu?”
“Penzi lako tamu”
“Karibu”
“Nani kakufundisha yote hayo”
“Mwalimu, mi sijui mbona”Maria alijifanya kufunga, huku akiumauma vidole vyake kuonesha aibu.
Waliishia hapo kwani ilishakuwa saa kumi na mbili na nusu jioni hivyo Maria alitakiwa kuondoka.
Mahusiano yao yalipamba moto, Maria alikuwa haambiwi kitu dhidi ya mwalimu Jeff , Maria aliamini Jeff ni wake peke yake lakini kwa Jeff haikuwa hivyo, yeye alichojali ni kupata pumziko tu.
Aliendelea na utaratibu wake wa kuwa na mahusiano na wanafunzi tofauti tofauti na ndipo alipokutana na Jamila, Jamila alikuwa fundi panapo uwanja wa fundi seremala.
Jeff aliendelea na Jamila kwa miezi miwili na ndipo alipogundua kwamba Jamila alishaambukizwa virusi vya UKIMWI, anaishi kwa kutumia vidonge.
“Haiwezekani mwanafunzi mdogo kama yule awe na UKIMWI” Jeff aliendelea kushikia msimamo wake kwamba haiwezekani lakini miezi mitatu badae akaenda kupima na kuonekana ameambukizwa virusi vya UKIMWI.
Ilikuwa habari ya mjini, kila upitapo stori ni hiyo "Mwanafunzi kamuambukiza mwalimu wake virusi tena kwa makusudi" Alisikia maneno hayo kwa watu mara baada ya wanafunzi kuchoka na tabia yake ya kuwaharibia mustakabari wa maisha yao kwani wengi aliokuwa na mahusiano nao waliporomoka sana kitaaluma.

MWISHO.

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2