Pichani ni mafundi wakiendelea kumalizia ujenzi wa chumba hicho.
Sayansi ya Teknolojia ikiwa inaendelea kushika kasi siku hadi
siku, chumba hiki maalum kilichojengwa juu ya safu za milima ya Alpine
iliyopo Ufaransa kimepata kuwa kivutio kikubwa kwa watalii wanaotokea
sehemu mbalimbali Duniani kutokana na staili ya aina yake
walivyokitengeneza kwa kutumia vioo vilivyozunguka kichumba hicho
kidogo hivyo kumuwezesha mtalii kuona kama vile yupo juu ya DuniaUnaambiwa sio rahisi kwa mtu mwenye roho nyepesi kuweza kusimama kwenye kichumba hicho kidogo kutokana na kuwa kileleni mwa mlima Alpine takribani umbali wa mita 3800 kutoka usawa wa bahari ambapo utengenezaji wake ulichukua takribani muda wa miaka miwili na ada ya kutembelea kwenye kivutio hicho ni kiasi cha Euro 55 ambazo ni sawa na Tsh 80,000 bila chenji.
Post a Comment