Blogger mashuhuri wa blog ya Jamvi la Habari ambaye pia ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SAUT-Songea Willy Migodela tarehe 07/10/2017 alifunga ndoa na Lightness Ngenzi katika kanisa la KKKT Msharika wa Mbarali mkoani Mbeya. Globu ya Jamii inampa pongezi Will na shemela kwa kumeremeta.
| Pichani Bwana Harusi Willy Migodela na Bibi Harusi Lightness Ngenzi |
| Pichani Bwana Harusi na Bibi Harusi wakiwa na wasimamizi wao Mr & Mrs Pambano Myula |
| Pichani Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao. |
| Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika tabasamu la kufurahia ndoa yao |
from Michuzi Blog
Soma Zaidi
Post a Comment