Dk.SHEIN AMUAPISHA NAIBU MKUU WA KMKM

DSC_1434

Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM Kapteni Khamis Simba Khamis,iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

DSC_1447

Baadhi ya Makamanda wa Kikosi cha KMKM waliofika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar wakati wa kuapishwa kwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM Kapteni Khamis Simba Khamis (hayupo pichani) hafla iliyofanyika leo,

DSC_1532

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM Kapteni Khamis Simba Khamis katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,

DSC_1650

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi baada ya kumuapisha Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM Kapteni Khamis Simba Khamis (wa pili kulia) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,

Picha na Ikulu


SOMA ZAIDI

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2