Dkt. Abbasi Awapa Siri Tano za Mafaniko Wahitimu Kidato cha Nne Jitegemee

JT0a

Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 33 ya Shule ya Sekondari ya Jitegemee inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa leo Jijini Dar es Salaam.

JT0aa

JT0b

Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa ma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Mstaafu Lawrence Magere akizungumza wakati wa mahafali ya 33 ya shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam

JT0c

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Luten Kanali Robert Kessy akizungumza wakati wa mahafali ya 33 ya shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule Brigedia Jenerali Mstaafu Lawrence Magere.

JT1

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa ma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Mstaafu Lawrence Magere alipowasili kwa ajili ya kuongoza mahafali ya 33 ya shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Katika ni Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Luten Kanali Robert Kessy.

JT2

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa ma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) alipowasili kwa ajili ya kuongoza Mahafali ya 33 ya Shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam.

JT3

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akivalishwa Skafu na mmoja wa Skauti wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa ma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) alipowasili katika shule hiyo kwa ajili ya kuongoza Mahafali ya 33 ya Shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam.

JT4

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiangalia vitabu alipotembelea Maktaba ya  Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa ma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa Mahafali ya 33 ya Shule hiyo leo Jijini Dar es Salaam.

JT5a

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi cheti cha kuhitimu Kidato cha Nne mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam alipokuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya 33 ya Shule ya hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo Brigedia Jenerali Mstaafu Lawrence Magere. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo Luten Kanali Robert Kessy.

JT5b

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi cheti na zawadi ya kuwa mwanafunzi bora katika somo la Historia  Kidato cha Nne mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jitegemee alipokuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya 33 ya Shule ya hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo Brigedia Jenerali Mstaafu Lawrence Magere.

JT6

Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam wakiwa katika Mahafali ya 33 ya Kidato cha Nne ya shule hiyo leo.

JT7

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akikabidhiwa risala ya wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Jitegemee ya inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa Mahafali ya 33 ya Shule hiyo leo Jijini Dar es Salaaam.

JT8

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akionyesha zawadi ya picha yake aliyopewa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) alipokuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya 33 ya Shule hiyo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa ma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Mstaafu Lawrence Magere.

JT9

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (kulia) Dkt. Hassan Abbasi akiongozana na  Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee ya Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Luten Kanali Robert Kessy wakati akiondoka shuleni hapo alipokuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya 33 ya Kidato cha Nne ya Shule hiyo leo.

Picha na: Frank Shija – MAELEZO


SOMA ZAIDI

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2