Haji Manara: Njaa Aijamuondoa Jackson Mayanja Simba

Zamototz
Haji Manara: Njaa Aijamuondoa Jackson Mayanja Simba
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kwamba taarifa ambazo zinasambazwa mitandaoni kuhusu aliyekuwa Kocha Msaidizi, Jackson Mayanja kuondoka kikosini hapo kwa sababu ya kukosa mshahara siyo za kweli.

Pia alisema tayari magazeti mawili ya michezo yamekanusha habari hizo (siyo Mwanaspoti) kutokana na kuandika habari hiyo isiyo ya kweli.

Alisema anaiomba Serikali kufuatilia mtandaoni watu wanaozusha na na kuichafua klabu hiyo.
From Udaku Special
Soma Zaidi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2