Idadi ya Waliokufa kwa Ajari ya Gari Iliyozama Ziwa Victoria wafikia 12

Zamototz
Idadi ya Waliokufa kwa Ajari ya Gari Iliyozama Ziwa Victoria wafikia 12
Idadi ya watu waliokufa baada ya Toyota Hiace kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 12.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu amesema katika ajali hiyo watu watatu wameokolewa wakiwa hai.

Msangi amesema walionusurika wameokolewa na wananchi ambao ni wataalamu wa kuogelea
From Udaku Special
Soma Zaidi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2