Kwa wale wakazi wote wa nchi ya Sweden na nchi jirani za skandinavia mtakuwa na usiku wa burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa kimataifa kutokea Sweden Tanzania Uganda na nchi nyingine kadhaa kwenye usiku wa kuitangaza nchi ya Tanzania kwa vivutio vyake vya utalii ikiwemo mlima mrefu barani Afrika Kilimanjaro.
Tunayofuraha kwamba msanii nyota wa mziki wa Bongoflaver Shetta atakuwepo kukuletea burudani kabambe ya mziki .
Usikose kuhudhuria !
Ni tarehe 14 Oktoba
Ukumbi ni kulturhuset Örebro
Järnvägsgatan 8 Örebro Sweden .
Ukipata ujumbe huu mtaarifu na mwezako.
from Michuzi Blog
Soma Zaidi
Post a Comment