NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AFANYA ZIARA HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU, MKOANI SHINYANGA

1

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, mkoani Shinyanga, Mheshimiwa Elias  Kwandikwa, akizungumza na wanakijiji wa Kisuke leo mkoani humo kuhusu utekelezaji wa Serikali katika miradi mbalimbali ikiwemo ya barabara nchini.

2

Wanakijiji wa Kisuke, Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, mkoani Shinyanga, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, mkoani humo,Mheshimiwa Elias Kwandikwa alipokutana nao leo kuzungumzia utekelezaji wa Serikali katika miradi mbalimbali ikiwemo ya barabara nchini.

3

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ushetu, Mkoani Shinyanga, Mhandisi Michael Matomora, akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Serikali katika Halmashauri yake kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta yaUjenzi), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, mkoani Shinyanga,Mheshimiwa Elias Kwandikwa.

4

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, mkoani Shinyanga,Mheshimiwa Elias  Kwandikwa, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa katapila lililonunuliwa na Halamashauri ya wilaya ya Ushetu kwa kutumia mapato yake ya ndani kwa ajili ya ujenzi wa barabara katika halamshauri hiyo.

5

MuonekanowakatapilalililonunuliwanaUongoziwaHalamashauriyawilayayaUshetu, mkoaniShinyanga,kwakutumiamapatoyakeyandanikwaajiliyaujenziwabarabarakatikahalamshaurihiyo.

6

NaibuWaziriwaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano, (SektayaUjenzi), ambayepianiMbungewaJimbo la Ushetu, mkoaniShinyanga, Mheshimiwa Elias  Kwandikwa, akijaribukuangaliauborawakatapilalililonunuliwanaUongoziwaHalamashauriyawilayayaUshetukwakutumiamapatoyakeyandanikwaajiliyaujenziwabarabarakatikahalamshaurihiyo.

7

MkurugenziwaHalmashauriyawilayayaUshetu, MkoaniShinyanga, Mhandisi Michael Matomora (kushoto), akifafanuajambokwaNaibuWaziriwaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano, (SektayaUjenzi), ambayepianiMbungewaJimbo la Ushetu, mkoaniShinyanga, Mheshimiwa Elias Kwandikwa (katikati),wakatiakikaguamaendeleoyaujenziwaJengojipya la ofisizaHalmashaurihiyo.

8

Muonekanowajengojipya laOfisizaHalmashauriyawilayayaUshetu, mkoaniShinyanga.

ImetolewanaKitengo cha MawasilianoSerikalini, WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano.


SOMA ZAIDI

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2