Naibu Waziri Lugola Afanya Ziara Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC)

Pix 01

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) Dkt Vedast Makota wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.

Pix 02

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akipata maelekezo toka kwa mtaalamu wa maabara wa Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) wakati wa ziara ya kikazi ya  Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.

Pix 03

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akizungumza na watumishi wa Baraza la Taifa la Mazingira (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya  Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.

Pix 04

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akizungumza na watumishi wa Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) wakati wa ziara ya kikazi ya  Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.

Pix 05

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC)  Dkt Vedast Makota (kulia) akizungumza na watumishi baraza hilo wakati wa ziara ya kikazi ya  Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.

Pix 06

Baadhi ya watumishi Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya  Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.

Pix 07

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Mazingira(NEMC)  Dkt Vedast Makota (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) wakati alipokutana na Menejimenti ya baraza hilo akiwa katika ziara ya kikazi mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Pix 08

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akifafanua jambo kwa Menejimenti ya Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) wakati wa ziara yake ya kikazi katika baraza hilo mapema hii leo, kulia aliyesimama ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Mazingira Dkt Vedast Makota.

Picha na Eliphace Marwa – Maelezo


SOMA ZAIDI

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2