Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt. Bilinith Mahenge amefanya ziara ya kukutana wananchi wa wilaya ya Namtumbo kwa lengo la kutatua kero zinazowakabili katika wilaya hiyo. Hapa mkuu wa mkoa Dkt. Mahenge anakutana na maswali magumu kutoka kwa wananchi hao
from Michuzi Blog
Soma Zaidi
Post a Comment