Mabeki wa Timu ya Njombe Mji pamoja na Kipa wao, wakijaribu kuuzuia mpira uliokuwa ukiekea langoni mwao baada ya kuligwa vizuri na Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi na kuandika goli la kuongoza, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara unaopigwa kwenye Dimba la Uhuru jijini Dar hivi sasa. Simba inaongoza kwa bao 3-0.
Mshambuliaji wa Njombe Mji, Jimmy Mwaisondela akipokea mpira kwa ustadi kabisa, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara unaopigwa kwenye Dimba la Uhuru jijini Dar hivi sasa. Simba inaongoza kwa bao 3-0
from Michuzi Blog
Soma Zaidi
Post a Comment