TAMASHA LA TIGO FIESTA LAPOKELEWA KWA SHANGWE NA WAKAZI WA SUMBAWANGA

 Aslay akiwa jukwaani akiburudisha wakazi wa Sumbawanga  kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson  Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili
 

 

Mashabiki wakiimba pamoja na Aslay.

 

Msanii Barnaba akiwa
jukwaani  kwenye   Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja
wa Nelson  Mandela Mjini Sumbawanga usiku
wa kuamkia jumapili.

 

Benpol akitumbuiza wakazi wa Sumbawanga jukwaani  kwenye   Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja
wa Nelson  Mandela Mjini Sumbawanga usiku
wa kuamkia jumapili
 

 

 

Wasanii Chege na Aslay wakiwa jukwaani wakiimba pamoja
kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson  Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia
jumapili

 

Mimi Mars naye aliburudisha maelfu ya wakazi wa Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili katika  tamasha la Tigo Fiesta.

 

Wasanii Roma Mkatoliki na Stamina (ROSTAM) wakiwa jukwaani wakiimba pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson  Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili
 

 


SOMA ZAIDI

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2