Waliofanikisha Uchunguzi Makinikia Kupewa Vyeti Leo Na Rais Magufuli

Zamototz
Waliofanikiasha Uchunguzi Makinikia Kupewa Vyeti Leo Na Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli leo anatarajia kuwatunuku vyeti Maalum Watu wote waliokuwa kwenye kamati ambao wamefanikisha makubaliano kati ya Serikali na Kampuni ya Uchimbaji madini ya Barrik Gold Corporation, tukio hilo litafanyika Ikulu leo.


From Udaku Special
Soma Zaidi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2