WAZIRI GAVU AZUNGUMZIA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NA OMAN

DSC_1958

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) (wa pili kushoto) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar leo,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman (kushoto) Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Nd,Hassan Khatibu Hassan na Mshauri wa Rais masuala ya Kisiasa Mhe. Mohamed Haji(wa pili kulia),

DSC_1935

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipokuwa akisisitiza jambo leo wakati wa mazungumzo na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,mazungumzo ambayo  yamegusa zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman (kulia) Mshauri wa Rais masuala ya Kisiasa Mhe. Mohamed Haji

DSC_1837

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi leo  katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman (kushoto) Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa,

DSC_1804

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman,

DSC_1812

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman,

DSC_1894

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman

Picha na Ikulu.


SOMA ZAIDI

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2