Klabu ya Simba SC Haikamatiki...Yamchapa Mtu 4 Bila..Yanga Mlie tuu

Zamototz

Klabu ya Simba SC yaibuka na Ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Majimaji FC na kuendelea kujiimarisha kileleni mwa Ligi kwa alama 35
-
Magoli ya Simba SC yamefungwa na John Bocco dakika ya 12, 27 pamoja na Emmanuel Okwi aliyefunga dakika ya 52 na 68
-
Sasa Simba SC anaongoza Ligi Kuu Soka Tanzania Bara kwa tofauti ya alama 5

From Udaku Special
Soma Zaidi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2