KAMATI YA MIUNDOMBINU YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI | Tarimo Blog


Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Miundombinu ambapo Wizara yake imewasilisha Taarifa ya utekeleaji ya bajeti ya sekta ya uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. 
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao cha kamati ambapo wamepokea na kujadili Taarifa ya utekeleaji ya bajeti ya sekta ya uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
PICHA NA OFISI YA BUNGE

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2