TAARIFA YA UAPISHO KATIKA PICHA | Tarimo Blog

 Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji (mstaafu) mheshimiwa Dkt. Steven James Bwana (Kushoto), akimuapisha ndugu Mussa Magunguli (Kulia) kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini katika Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma. Wanaoshuhudia ni baadhi ya Viongozi wa Tume, hafla fupi  ya kumuapisha imefanyika leo katika Ofisi ya Tume jijini Dar es Salaam. (Picha na PSC).


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2