JANGA LA CORONA LASABABISHA UKATA TWANGA PEPETA | Tarimo Blog


Yassir Simba, Michuzi Tv 
MMILIKI na Mkurugenzi wa bendi ya muziki wa dansi nchini ya Twanga Pepeta, Asha Baraka amedai bendi yake sasa haiko sawa kiuchumi kutokana na janga la Corona. 

Mkurugenzi wa bendi hiyo ameyasema hayo katika mahojiano yake na kipindi cha clouds 360 kinachorushwa na clouds TV.

Asha Baraka amedai kwamba kutokana na janga hilo la Corona kumesababishwa kufungwa kwa baadhi ya kumbi za starehe na kupelekea bendi hiyo kukosa maonyesho ambapo amedai amesaidia  kuwalipa msharaha wa mwezi mmoja takribani wafanyakazi 40 wa bendi hiyo na hali ya uchumi haiko sawa kwa upande wake kupelekea baadhi ya wanamuziki wa bendi kuuza simu zao ili wajikimu kimaisha.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2