April 12 ,2020 Jumuiya ya MABOHORA Dsm, imeendelea kupeleka vifaa muhimu Magufuli Hostel kuendelea kusaidia Juhudi ya COVID 19 RESPONSE TEAM kupambana na janga la CORONA VIRUS. Inshallah mungu atusaidie wote kuendelea kadiri ya uwezo wetu kusaidia Serekali yetu na Nchi yetu kupambana na kuishinda hiyo CORONA VIRUS. Ameen
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA


Post a Comment