KADIO AKAGU MAENDELEO YA JENGO LA KITUO KIPYA CHA POLISI MBANDE WILAYANI KONGWA | Tarimo Blog

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kulia), akimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, aliyekuwa akitoa taarifa ya Ujenzi wa Kituo Kipya cha Polisi Mbande Wilayani Kongwa, Jijini Dodoma ambacho Katibu Mkuu Kadio amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo hicho akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani kailima pamoja na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Aliyenyoosha kidole), akielekeza jambo kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, alipokuwa akikagua Ujenzi wa Kituo Kipya cha Polisi Mbande, Wilayani Kongwa, Dodoma. Wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo
Jengo la Kituo Kipya cha Polisi Mbande, Wilayani Kongwa, Jijini Dodoma kilichokaguliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, aliyeambatana na Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kulia), Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Wa pili kulia) na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo, wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, alipokuwa akifafanua jambo juu ya Ujenzi wa Kituo Kipya cha Polisi Mbande, Wilayani Kongwa, Jijini Dodoma ambacho Katibu Mkuu Kadio amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo hicho.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kushoto), akimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, aliyekuwa akionyesha Jengo la Kituo Kipya cha Polisi Mbande katika Wilaya ya Kongwa, Jijini Dodoma. Kadio aliyeambatana na Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Wa pili kulia) na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo hicho.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa pili kulia), Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Wa kwanza kulia) na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wakitazama Jengo la Kituo Kipya cha Polisi Mbande katika Wilaya ya Kongwa, Jijini Dodoma walipokuwa wakikagua Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo hicho.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2