NAIBU SPIKA AKABIDHIWA TUZO NA BARAZA LA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI NCHINI | Tarimo Blog



Naibu Spika Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea tuzo maalum ya kuthamini mchango wake katika kupambana na Ukimwi na Kifua kikuu nchini iliyotolewa na Chama cha Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini (NACOPHA) na kukabidhiwa kwake na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa hii leo Jijini Dodoma.
Naibu Spika Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa aliyemkabidhi tuzo maalum ya kuthamini mchango wake katika kupambana na Ukimwi na Kifua kikuu nchini iliyotolewa na Chama cha Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini (NACOPHA) hii leo Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2