NEWZ ALERT: MBUNGE WA JIMBO LA SUMVE RICHARD NDASA AFARIKI DUNIA | Tarimo Blog

Spika wa Bunge, Job Ndugai amethibitisha kutokea kwa kifo cha Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndasa kilichotokea usiku wa kumkia leo jijini Dodoma. Spika Ndugai amehairisha shughuli za Bunge ikiwa ni kanuni za maombelezo.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2