SIMBACHAWENE AKUTANA NA MWAKILISHI MKUU WA UNHCR NCHINI | Tarimo Blog



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.
Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)nchini, Antonio Canhandula akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akimsindikiza  Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), baada ya kumaliza mazungumzo mbalimbali yaliyohusu wakimbizi wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2