MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MZEE MKAPA` | Tarimo Blog


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanmia Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Rais Msataafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa alipofika nyumbani kwa Marehemu Masaki Jijini Dar er salaam leo Julai 25, 2020 kwa ajili ya kuifariji Familia ya Marehemu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanmia Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mjane wa Rais Msataafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa,  Mama Anna Mkapa

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2