WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE MKAPA | Tarimo Blog

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu , Masaki jijini Dar es salaam, Julai 24, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,   Mhe. Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es salaam, Julai 24, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,   Mhe. Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es salaam, Julai 24, 2020.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, marehemu Benjamin William Mkapa ambako walikwenda kutoa pole kwa familia, Julai 24, 2020.  Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Abubakar Kunenge na wa tatu kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Godfrey Chongolo. 

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2