Benki ya NCBA yaongeza zaidi huduma zake nchini, Yafungua matawi mawili jijini Mwanza leo | Tarimo Blog

 

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Benki ya NCBA lililopo mtaa Kenyata jijini Mwanza jana, jumla ya matawi mawili yalizinduliwa jijini humo. Wengine kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NCBA Tanzania, Margaret Karume, Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mhe. Emmanuel Tutuba (kulia) na nyuma ni Mkurugenzi wa jijini la Mwanza, Mhe.Wakili Kiomoni Kibamba. 

 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NCBA Tanzania, Margaret Karume, akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza,wakati wa uzinduzi wa matawi yao yaliyopo barabara ya Nyerere na Kenyata. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mhe. Emmanuel Tutuba.

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella, akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza,wakati wa uzinduzi wa matawi mawili ya Benki ya NCBA yaliyopo barabara ya Nyerere na Kenyata jijini humo jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NCBA Tanzania Limited, Margaret Karume.

 




Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2