RAIS DK.HUSSEIN MWINYI ATEMBELEA WAFANYABIASHARA | Tarimo Blog

 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatib Hassan   wakati alipowasili katika Soko la Wajasiriamali wadogo wadogo Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo Changamoto mbali mbali zinazowakabili .[Picha na Ikulu.] 18/11/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wafanyabiashara  Ndogo Ndogo  katika Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipofanya ziara ya Kikazi kujuwa changamoto mbali mbali kwa Wafanaybishara hao.[Picha na Ikulu.] 18/11/2020. Mkurugenzi wa Jiji la Zanzibar Ali Khamis Juma alipokuwa akimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati ) wakati alipotembelea soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo kujua changamoto zinazowakabili Wafanyabiashara ndogo ndogo sokoni hapo.[Picha na Ikulu.] 18/11/2020. Baadhi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo wakimsiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipozungumza nao na kuwataka kuwana subira wafanyiwe maamuzi sahihi ya kupatiwa Eneo jengine la kufanyika Biashara zao kwa uhakika,aliyasema hayo leo katika soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu.] 18/11/2020. Mfanyabiashara Rashid Othman Matola akitoa maelezo kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipowatembelea leo wakiwa ma Mzozo wa kutakiwa kuondoka katika Eneo hilo la  Kijangwani na Uongozi wa Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo  walipewa siku tatu.[Picha na Ikulu.] 18/11/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na  Wajasiriamali wadogo wadogo katika Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipofanya ziara ya kujuwa Changamoto mbali mbali zinazowakabili wafanyabiashara hao.[Picha na Ikulu.] 18/11/2020.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatibu Hassan (katikati) alipokuwa akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhusu Mradi wa katika Eneo la Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini kabla Rais, kuzungumza na  Wajasiriamali wadogo wadogo katika Soko hilo leo akiwa katika ziara  ya Kikazi kujuwa Changamoto mbali mbali zinazowakabili Wafanyabiashara hao.[Picha na Ikulu.] 18/11/2020.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2