RAIS DKT.MAGUFULI KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA LZ NICKEL LIMITED BUKOBA, KAGERA TANZANIA | Tarimo Blog


Kutokea Bukoba mkoani Kagera kwenye Hafla ya Utiaji Saini Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kampuni ya LZ NICKEL LIMITED ya uchimbaji wa madini aina ya NICKEL. Mkataba huo utashuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Januari, 2021.



Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

1/Post a Comment/Comments

Post a Comment

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2