RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK. HUSSEIN MWINYI ASHIRIKI SALA YA KUUSALIA MWILI WA MAREHEMU MKUU WA MKOA WA KASKAZINI MSTAAFU VUAI MWINYI. | Tarimo Blog

 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Abdalla Talib baada ya kumalizika kwa Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mstaaf  Vuai Mwinyi, iliofanyika katika Msikiti wa Magombeni ( Mchekeni ) (Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Vuai Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mstaaf,  iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi ksatika Msikiti wa Magombeni Jijini Zanzibar (Mchekeni ) (Picha na Ikulu)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2