TANZIA: ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA KIGOMA AFARIKI DUNIA | Tarimo Blog


Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii asubuhi hii, inaeleza kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga amefariki dunia leo katika Hospitali ya Jeshi mkoani Tabora alikokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa kamili itawafikia hivi punde.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2