TANZIA | Tarimo Blog

Mkuu wa Polisi Wilaya Kibaha Ssp Kennedy Mgani anasikitika kutangaza kifo cha askari no E 6472 Cpl Yusuph Mohamed Said wa GD wilaya Kibaha kilichotokea leo tarehe 18/01/2021 kwa kujinyonga kwenye nyumba yake huko miembe saba mtaa wa Msola kata ya Kongowe mwili umehifadhiwa chumba cha maiti hospital ya Tumbi Kibaha.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe amina.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2