HUZUNI YA TAWALA MAMA NYERERE AKIINGIA UWANJA WA UHURU LEO KUAGA MWILI WA JPM LEO MACHI 20, 2021 | Tarimo Blog

Mama Maria Nyerere akiingia katika uwanja wa Uhuru leo machi 20, 2021 kwaajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Uhuru mkoa wa Dar es Salaam, ambapo Ibada ya kumuaga imefanyika.
Mama Janeth Magufuli akiwa ameshikiliwa wakati akiingia katika uwanja wa Uhuru leo Machi 20, 2021, ambapo Ibada ya kumuaga inafanyika na Viongozi mbalimbali wataaga na baadae wananchi wa Dar es Salaam wataaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2