RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIMFARIJI MKE WA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI | Tarimo Blog

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumfariji Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipomtembelea Nyumbani kwake Jijini Dar es salaam leo leo March 19,2021. aliyesimama kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ali Kakurwa.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia Saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika Viwanja vya Kareem Jee Jijini Dar es salaam leo leo March 19,2021. 
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2