RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI NA KUTOWA MKONO WA POLE KWA MJANE WA MAREHEMU MAMA JANETH MAGUFULI. | Tarimo Blog



 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt.John Pombe Magufuli,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo 19-3-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimfariji Mjane wa hayati aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli alipofika Ikulu Jijini Dar es Salaam kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu.(Picha na Ikulu)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2