SAMIA HASSAN SULUHU AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LEO MACHI 19, 2021 | Tarimo Blog

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Machi 19, 2021 katika Ikuru ya Magogoni Mkoa wa Dar es Salaam. Ameapishwa leo baada ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kufariki Dunia Machi 17, 2021.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2