Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji.)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwigulu Lameck Nchemba Madelu kuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Othman Katanga akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mbarouk Nassoro Mbarouk kuwa Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment