RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Hutba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh Rajab Mohammed Faki.(hayupo pichani) kabla ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar leo 2-4-2021 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi.(Picha na Ikulu)
WAUMINI wa Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa salamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msitiki wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Sheikh Rajab Mohammed Faki na Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahmoud Mohammed Mussa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msitiki wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Sheikh Rajab Mohammed Faki.(Picha na Ikulu)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment