Balozi wa Kenya Afrika Kusini Mh Catherine Mwangi ametembelea Ubalozi wa Tanzania Pretoria na kufanya mazungumzo na Balozi Gaudence Milanzi. Mazungumzo yalisisitiza ushirikiano wa karibu ktk maeneo mbalimbali kufuatia ziara ya Mh Rais Samia Suluhu nchini Kenya.
Balozi Milanzi akimkabidhi kitabu kinachohusu Tanzania Mh Balozi Catherine Mwangi Ubalozini Pretoria.
Mabalozi Milanzi na Mwangi wakiwa na maafisa ubalozi kushoto Rose Jairo-TZ, Col Msakulo TZ na Beatrice Karago toka Kenya.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment