MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE SHEREHE YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU ZEPHANIA MWANZA | Tarimo Blog

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Baadhi ya Maaskofu  wa Kanisa la Anglikana Tanzania alipowasli katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza  wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye  Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiagana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Mhashamu Maimbo William Mndolwa  wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye  Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akihutubia Waumini wa Dini ya Kikristo na Watanzania alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye  Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Baadhi ya Maaskofu  wa Kanisa la Anglikana Tanzania alipowasli katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza  wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye  Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango.

 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2