RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM SALA YA EID EL FITRI VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN JIJINI ZANZIBAR | Tarimo Blog

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali, baada ya kumalizika kwac Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Rais wa Tanzania Mstaaf Alhaj Dkt.Mohammed Gharib Bilal baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kuhudhuria Sala ya Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.

 



Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2