RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKABIDHI SIKUKUU KWA WAZEE WA MAKUNDI MAALUM | Tarimo Blog

Mkurugenzi Idara Huduma za Rais Ikulu Zanzibar (Mnikulu).Ndg. Mahmood Hashim Othman , akimkabidhi mmoja wa Wazee wa Makundi Maalum Bw. Subira Haji Mlenge, mchele na fedha, akikabidhi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitry,hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Mnikulu Ikulu Jijini Zanzibar.

Mkurugenzi wa Idara Huduma za Rais Ikulu Zanzibar (Mnikulu) Ndg. Mahmood Hashim Othman, akizungumza na kuwasilisha salamu za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwa  Wazee wa makundi maalum waliofika Ikulu kwa ajili ya kukabidhiwa Sikukuu iliotolewa na Rais, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Mnikulu Ikulu Jijini Zanzibar.

(Picha na Ikulu)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2