WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAMPOKEA KATIBU MPYA WA BUNGE JIJINI DODOMA | Tarimo Blog

 

 Watumishi Ofisi ya Bunge wampokea kwa bashasha Katibu wa Bunge, Ndg, Nenelwa Mwihambi alipowasili katika viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma

Katibu wa Bunge, Ndg, Nenelwa Mwihambi (Mwenye maua) katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Bunge nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg, Nenelwa Mwihambi (katikati mbele) katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Bunge nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wanne kushoto mbele ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi akipokelewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala na Rasilimali Watu Bunge, Ndg. Triphonia Mng’ong’o alipowasili katika viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma.

 

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2