Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu (wa pili toka kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa duka la kusambaza vifaa vya umeme wa jua (Solar) la D.Light , lililopo jengo la Chama Kikuu cha Ushirika Kilimanjaro (KNCU) , Wengine katika picha kutoka kushoto ni Afisa mkuu Uwendeshaji wa D.Light Afrika, Jacob Okoth, Mkurugenzi wa D.Light Tanzania , Charles Natai na kulia ni Mkuu wa Mauzo na Usambazaji D.Light Tanzania, Hamis Mruta.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu akizungumza waandishi wa habari na wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa duka jipya la kisasa la DLight mjini Moshi.
Mkurugenzi wa DLight Tanzania, Charles Natai akizungumza waandishi wa habari na wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa duka jipya la kisasa la DLight mjini Moshi. Wengine kushoto kwake ni Mshahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu na Afisa Mkuu wa Uendeshaji DLight Afrika, Jacob Okoth .
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu akizungumza waandishi wa habari na wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa duka jipya la kisasa la DLight mjini Moshi.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment