MAHAKAMA KANDA YA MBEYA IMEMWACHIA HURU KADA WA CHADEMA | Tarimo Blog

Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemuachia huru leo Juni 28,2021 kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali aliyekuwa akishtakiwa kwa kukutwa na dawa za kulevya.

Mdudu ameachiwa na Mahakama hiyo leo baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuwasilisha ushahidi wa kuweza kumtia hatiani.
Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2