RAIS SAMIA AFUNGUA NA KUSHIRIKI MKUTANO WA 12 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU,DAR ES SALAAM. | Tarimo Blog



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza mbele ya washiriki wa Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara wakati akifungua Baraza hilo leo Ikulu mkoani Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara linaloendelea katika ukumbi wa Jakaya Kikwete,Ikulu mkoani Dar es SalaamBaadhi ya Washiriki wa Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara linaloendelea katika ukumbi wa Jakaya Kikwete,Ikulu mkoani Dar es Salaam,ambapo Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amelifungua na kushiriki kama Mwenyekiti wa Baraza hilo
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara linalofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete,Ikulu mkoani Dar es Salaam, ,wakiwa wamesimama wakiomba Dua/Sala kwa ajili ya baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Baraza hilo waliotangulia mbele za haki (fariki) akiwemo aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya Tano,Hayati John Pombe Magufuli, ambapo Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amefungua na kushiriki kama Mwenyekiti wa Baraza hilo



Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara linalofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete,Ikulu mkoani Dar es Salaam,ambapo Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu amelifungua na kushiriki kama Mwenyekiti wa Baraza hilo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza mbele ya washiriki wa Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara wakati akifungua Baraza hilo leo Ikulu mkoani Dar es Salaam,




Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kufungua Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara leo Ikulu mkoani Dar es Salaam,
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo uliofanyika Ikulu leo mkoani Dar es Salaam,ambapo Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amefungua na kushiriki kama Mwenyekiti wa Baraza hilo


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2