RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIJANA MKOANI MWANZA | Tarimo Blog



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Vijana wa Mkoa wa Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021 katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza.




Vijana mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza pamoja na maeneo mbalimbali nchini wakicheza katika shamrashamra za mkutano wao huo kabla ya kuanza kusikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. PICHA NA IKULU.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2