TUME YA UTUMISHI WA UMMA IMEENDELEA NA MKUTANO WA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 JIJINI DAR ES SALAAM. | Tarimo Blog

Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma wakiwa katika Mkutano leo 29 Juni 2021: Mheshimiwa Khadija A.M. Mbarak (kushoto) na Mheshimiwa Immaculata P. Ngwale (kulia) wakishiriki katika Mkutano wa Nne kwa mwaka wa fedha 2020/2021 unaofanyika Jijini Dar es Salaam. (Picha na PSC)

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Nyakimura Muhoji (kushoto) akiwa na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Balozi (Mstaafu) Daniel Ole Njoolay (katikati) na Mhe. Balozi (Mstaafu) John Haule wakishiriki katika Mkutano wa Tume leo 29 Juni 2021 unaofanyika Jijini Dar es Salaam. (Picha na PSC).

Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Umma: Bw. Peleleja Masesa, Katibu Msaidizi, Idara ya Rufaa na Malalamiko (kushoto), Bw. Evarist Mashiba, Afisa Sheria Mkuu (katikati) na Bw. Charles Mulamula, Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria (kulia) wakishiriki Mkutano wa Tume unaoendelea kufanyika Jijini Dar es Salaam. (Picha na PSC)

 


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2