NBAA YASHIRIKI MAONESHO YA 16 YA VYUO VIKUU YALIYOANDALIWA NA TCU | Tarimo Blog

Afisa Mdhibiti wa Viwango wa NBAA, CPA Winnington Makaka (kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu namna mwanafunzi anavyoweza kufanya Usajili kwa njia ya mtandao pamoja na ada zinazotolewa na Bodi hiyo kwa mwananchi aliyetembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Afisa Masoko na Mawasiliano wa NBAA Magreth Kageya(kushoto) akitoa ufafanuzi  kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na Bodi hiyo kwa wananchi walipowatembelea katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Steven Aliko kutoka kitengo cha Tehama NBAA (katikati) akitoa maelezo kwa John Joseph(kulia) kuhusu Usajili wa Wanafunzi kwa njia ya mtandao alipotembelea Banda la Bodi hiyo  katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Afisa Utafiti kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA), Michael Mwakifuna
Afisa Mdhibiti wa Viwango wa NBAA, CPA Winnington Makaka (kulia) akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani kuhusu namna wanafunzi wanavyofanya mitihani ya Bodi walipotembelea Banda la NBAA katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Afisa kutoka kitengo cha Elimu na Mafunzo NBAA, Rebecca Siame akitoa ufafanuzi kwa Dkt. Adili Zella kuhusu ufanyaji wa mitihani ya Bodi hiyo alipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam
Steven Aliko kutoka kitengo cha Tehama NBAA (kushoto) akitoa maelezo kutoka kwa mmoja wa mwananchi aliyefika katika Banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Katikati ni Afisa Mdhibiti wa Viwango wa NBAA, CPA Winnington Makaka.
Afisa kutoka kitengo cha Elimu na Mafunzo NBAA, Rebecca Siame akitoa ufafanuzi kuhusu ufanyaji wa mitihani ya Bodi kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani walipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam
Mwanachi akisoma moja ya kitabu cha Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) alipotembelea banda la Bodi hiyo katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Steven Aliko kutoka kitengo cha Tehama NBAA (kushoto) akitoa maelezo kuhusu gharama zinazotelolewa na Bodi  hiyo wakati wa kufanya mitihani kwa mwananchi aliyefika katika Banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Huduma zikiendelea kutolewa kwenye banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Wafanyakazi wa NBAA wakiwa kwenye picha ya Pamoja kwenye Banda la Bodi hiyo wakati wa maonesho ya 16 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.



Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2